Nafasi Ya Matangazo

May 23, 2012

Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia January Makamba akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  Profesa John Nkoma, wakati alipotembelea Makao Makuu ya ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania zilizopo jengo la Mawasiliano Taower Sinza  ,barabara ya Sam Najoma jijini Dar es Salaam.kujionea shughuli zinazofanya na Mamlaka hiyo
 02.Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Januari Makamba akimsikiliza Mhandisi Mfawidhi wa Mawasiliano ya Redio wa  Mamlaka ya Mawasilioano Tanzania. Mhandisi,Johannes Magesa wakati alipokuwa akitoa maeleza juu ya kutambua muingiliano wa mawasilia kwa frequecy za redio wakati waziri huyo alipotembelea TCRA kujionea shughuli zinazofanya na Mamlaka hiyo . kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Profesa John Nkoma.
 Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January Makamba ( kulia) akimsikiliza Mhandisi wa TCRA Ikuja Jumanne wakatim aliokuwa akionyeshwa kifaa cha kupimia Masafaa ya Redio na TV.wakati aliopotembelea TCRA .
Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January Makamba ( katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania Pfrofesa John Nkoma, wakionyeshwa kifaa kinachotumika kupimia mionzi ya minarambalimbali hapa nchini na Meneja wa Mipango na Utafiti wa TCRA Dk.Ali Simba.
Afisa  Habari wa TCRA Bi, Doris akiwa na wafanyakazi wenzake wakimsikilza kwa makini Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January Makamba, alipokuwa akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January Makamba( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya TCRA
Posted by MROKI On Wednesday, May 23, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo